VICHWA VYA HABARI

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks t>

Sunday, April 24, 2016

Tishio la usalama linalokabili eneo la mpaka wa Kenya na Somalia sasa Bomba la mafuta la Uganda litapitia Tanzania

Kator fm (File) Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wametangaza kuwa bomba la mafuta la Uganda kutoka Hoima hadi Bandari ya Tanga litapitia Tanzania, mradi ambao unatarajiwa kugharimu dola za kimarekani bilioni 4. Viongozi hao wamefanya uamuzi huo kwenye Mkutano...

Nguli wa muziki wa Rhumba, Papa Wemba afariki dunia

Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba, anaejulikana kwa jina maarufu Papa Wemba, ameiaga dunia akiwa katika jukwaa Jumapili Aprili 24. Mwanamuziki huyu nguli wa Congo (DRC) alikuwa na udhaifu wakati wa tamasha aliloendesha nchini Cote d'Ivoire Jumamosi Aprili 23.http://www.kiswahili.rfi.fr/utamaduni/20160424-gwiji-wa-muziki-wa-kiafrika-papa-wemba-afariki Papa...

Friday, April 22, 2016

Uganda mwenyeji wa mkutano kuhusu miundombinu

ICGLR, Kampala, Agosti 7, 2012.REUTERS/Edward Echwalu      Marais wa Kenya, Uganda, Rwanda na Sudan Kusini wanatarajiwa kukutana kesho jijini Kampala nchini Uganda katika kikao cha 13 kujadili kuhusu maendeleo ya miundo mbinu zinazounganisha nchi...

Serikali ya Tanzania ndio mmiliki wa kampuni ya General Tyres Arusha

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, wa Tanzania Bw Charles Mwijage amesema hivi sasa kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre Arusha kinamilikiwa na serikali baada ya serikali kununua asimilia 26 kutoka kwa mbia wake. Akizungumza bungeni, Bw Mwijage amesema...

Ukuaji wa sekta ya viwanda bado uko nyuma Tanzania

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya bajeti nchini Tanzania imesema ukuaji wa sekta ya viwanda katika awamu ya kwanza ya mpango wa maendeleo ya taifa ulikuwa chini ya lengo, jambo ambalo haliridhishi maendeleo ya uchumi wa viwanda. Akizungumza na radio China kimataifa, mwenyekiti...

Tanzania kuanza kutekeleza ahadi ya Magufuli

Serikali ya Tanzania imesema itaanza kutekeleza ahadi ya rais John Magufuli ya kukipa kila kijiji nchini Shilingi milioni 50 katika mwaka wa fedha wa 2016-2017. file katoro fm Akizungumza bungeni, naibu waziri ofisi ya rais, Bw Antony Mavunde amesema utaratibu wa kugawa...

Wednesday, April 20, 2016

Wafanyabiashara 13 kutoka nchini Oman wawasili mkoani Mtwara nchini Tanzania kuangalia fursa za uwekezaji

Picha File Katoro Fm Wafanyabiashara 13 kutoka nchini Oman wamewasili mkoani Mtwara nchini Tanzania kuangalia fursa za uwekezaji na jinsi watakavyoshirikiana na Watanzania katika masuala ya kiuchumi. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego alisema mwishoni mwa wiki iliyopita...

Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania atoa onyo la ugonjwa wa mnyauko katika mikorosho kwa wakulima

Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Mfaume Juma(file Katoro fm) Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Mfaume Juma amesema kuingia kwa ugonjwa wa mnyauko katika mikorosho ni tishio katika zao hilo na kuwapa hofu wakulima. Akizungumza na waandishi wa...

Tuesday, April 19, 2016

Mfugaji wa Tanzania ashinda tuzo ya kimataifa ya mazingira

Bw Edward Loure.mshindi wa tuzo ya mazingira ya Goldman kwa mwaka huu Mfugaji wa kabila la wamaasai kutoka Tanzania ameshinda tuzo ya mazingira ya Goldman kwa mwaka huu, kutokana na njia yake ya kipekee ya kulinda mazingira na jamii yake kwa ujumla. Tuzo hii inatolewa...

Daresalaam Tanzania:Wananchi kuwezehswa kiuchumi

Katoro FM (File) Baraza la Taifa la Tanzania la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi (NEEC) limewataka waratibu wa uwezeshaji katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, kutumia mafunzo waliyopata kulisaidia baraza hilo kufikia malengo yake ya kuwawezesha wananchi kiuchumi. Katibu...

Mugabe alalamikia askofu kuhusu ndoa za jinsia moja

Rais Mugabe hupinga sana wapenzi wa jinsia moja Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe alikutana na Askofu mkuu wa Canterbury na kuibua maswali kuhusu ndoa za wapenzi wa jinsia moja. Askofu mkuu Justin Welby amesema alimjibu kiongozi huyo kwamba kuna mitazamo tofauti kuhusu ndoa...

DARAJA LA KIGAMBONI SASA NI DARAJA LA MWL. NYERERE

Rais Magufuli ametoa tamko hilo kwa Waziri wa Ujenzi, kulipa jina la Nyerere ikiwa ni kuenzi kazi kubwa aliyoifanya baba wa taifa ya  kuwaunginisha watanzania. Hayo ameyasema muda si mrefu katika uzinduzi wa daraja hilo maarufu kama Daraja la Kigamboni. Daraja ambalo ni...

Monday, April 18, 2016

Daraja la kisasa kuzinduliwa Kigamboni

File Rais Joseph Pombe Magufuli wa Tanzania atafungua daraja la Kigamboni hapo kesho. Daraja hilo litaunganisha eneo la Kigamboni na mji wa Dar es Salaam. Ujenzi wa daraja hilo umegharimu zaidi dola milioni 140. Daraja la Kigamboni linatarajiwa kurahisisha usafiri na...

Tanzania: Bajeti ya Afya imeongezwa Hadi 250bn Kutoka 41bn

.Bi Ummy Mwalimu (Katoro Fm File) Serikali ya Tanzania imeongeza bajeti yake kwa ajili ya ununuzi wa dawa kutoka sh bilioni 41 katika mwaka wa fedha wa 2014/15 hadi sh bilioni 251 katika mwaka wa 2015/16 kushughulikia uhaba wa dawa. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,...

Sunday, April 17, 2016

Watoto Geita walazimika kuchagua kati ya chakula na masomo

Ingawa serikali ya Tanzania inataka kutoa elimu kwa kila mtoto, baadhi ya watoto wa mkoani Geita wamesema wanapendelea kufanya kazi migodini au kuvua samaki kwani familia zao hazina pesa ya kutosha na hawataki kulala njaa. Hawa Bihoga amewatembelea na kushuhudia hali ya maisha yao. fuatilia link kwa habari zaidihttp://www.dw.com/sw/watoto-geita-walazimika-kuchagua-kati-ya-chakula-na-masomo/av-19183127...

Annan: Nkurunziza hakustahili kuwania urais

Rais Nkurunziza Aliyekuwa Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa bwana Kofi Annan amemkosoa rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kwa kuwania muhula wa tatu. Bw Annan amesema Nkurunziza anafahamu vyema kuwa ni kinyume cha katiba ya taifa hilo kuwania madaraka kwa zaidi ya vipindi...

Filamu nyingine ya Avatar kuongezwa

Watengenezaji wa filamu ya Avatar franchise wamesema kutatolewa filamu zaidi katika mwendelezo huo wa filamu, filamu ijayo ikitarajiwa kutolewa 2018. Mwelekezi wa filamu hizo James Cameron ametangaza kwamba filamu hizo zitaendelezwa hadi makala ya tano itakayotolewa...

Tanzania yaweka mipango ya kupunguza msongamano wa magari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DK.Magufuli(file) Rais John Magufuli wa Tanzania ametangaza mipango ya kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam. Amesema baadhi ya mipango hiyo ni pampja na kuwekeza ujenzi wa barabara na reli katika mji huo wenye wakaazi...

Saturday, April 16, 2016

Tanzania yaimarisha oparesheni dhidi ya bangi

Bangi(Maktaba) ktfm Polisi nchini Tanzania wameendeleza oparesheni dhidi ya ukuzaji wa bangi pamoja na biashara yake kwenye eneo la Kaskazini mwa nchi hiyo la Arusha. Oparesheni hiyo inaendelezwa huku ripoti ya Umoja wa Mataifa ikionyesha kuwa Tanzania ndio mzalishaji...

Friday, April 15, 2016

Timu 4 zatinga nusu fainali

Hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imepigwa Alhamisi hii, Aprili 14 kwa michezo min...

Wawekezaji wa madini Tanzania wataka kujadili na serikali yao jinsi ya kuboresha mazingira ya biashara hiyo

kutoka mataba katoro fm madini hali ambayo itawatorosha wawekezaji wa kigeni. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, baadhi ya maofisa wa migodi ya madini nchini humo wamesema kuna changamoto kadhaa ambazo zimechangia wawekezaji katika sekta ya madini kutowekeza kwenye utafutaji...

Sudan Kusini yaingia rasmi Afrika Mashariki

Rais Kiir amesema Sudan Kusini imejiunga na jumuiya sahihi Sudan Kusini sasa ni mwanachama mpya wa jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya Rais wa nchi hiyo Salva Kiir kusaini mkataba wa kujiunga rasmi na jumuiya hiyo. Rais Kiir ametia...

Rais wa Tanzania John Magufuli ametengua uteuzi wa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Bw Gabriel Nderumaki.

Dkt Magufuli amemteua Bi Abdallah kuwa kaimu Bi Tuma Abdallah, ambaye amekuwa mhariri mtendaji msaidizi wa magazeti ya serikali (TSN), ameteuliwa kuwa kaimu. Hakuna maelezo yoyote zaidi yaliyotolewa kuhusu sababu za kutenguliwa kwa uteuzi wa Bw Nderumaki. TSN huchapisha...

Thursday, March 17, 2016

TAMISEMI YAAGIZWA KUSIMAMIA VIZURI MIKOA NA HALMSHAURI ILI KULETA MAENDELEO TARAJIWA.

Waziri Mkuu Aagiza OR TAMISEMI Kusimamia Mikoa na Halmashauri Kuleta Maendeleo tarajiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa ameitaka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali...

Naibu Waziri apiga marufuku eneo la Shule kutumika kibiashara

Naibu Waziri apiga marufuku eneo la Shule kutumika kibiashara Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo, ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, kufuta mawazo ya kubadilisha matumizi Shule ya Msingi Uhuru...

IPENDE TANZANIA KWA KUIJUA VEMA ILI UILINDE, JE! UNAIFAHAMU RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA? Soma hapa

http://www.ikulu.go.tz/index.php/media/publicatio...

Kashfa ya rushwa: FIFA yawageukia viongozi wa zamani

Gianni Infantino, Rais mpya wa FIFA. Ijumaa Februari 26, 2016 mjini Zurich. FIFA TV Na RFI Enzi mpya yafunguliwa katika Shirikisho la kimataifa la Soka (FIFA), ambapo rais mpya aliyechaguliwa, Gianni Infantino,...

Vijana wandelea kutowakilishwa katika mabunge duniani : Ripoti

Nembo ya IPU.(Picha@IPU) Ripoti mpya ya muungano wa mabunge duniani IPU inaonyesha kuendelea kwa tatizo sugu la kutowakilishwa ipasavyo kwa vijana katika mabunge, wakati huu ambapo idadi ya kundi hilo duniani ni ikubwa kuliko wakati wowote ule. Ripoti hiyo iitwayo uwakilishi...

Tuesday, March 15, 2016

Malawi yachoma pembe za ndovu haramu

Shirika la wanyama pori la Afrika linasema kuwa ndovu takriban elfu 35 waliuwawa barani humo mwaka jana. Pembe za ndovu haramu zikichomwa.   Malawi ilichoma pembe za ndovu takriban mia 8 jummatatu kuonyesha nguvu dhidi ya biashara haramu ya wanyama pori. Maafisa...

CUF yasema baadhi ya wakazi wa Zanzibar wakimbilia Mombasa

Siku kadhaa kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa marudio huko Zanzibar, Chama cha Wananchi -CUF kimesema baadhi ya wanachama wake huko kisiwani Pemba wameanza kukimbilia maporini wakitafuta uwezekano wa kutoroka kisiwani humo na kukimbilia katika mji wa Mombasa nchini Kenya...

Tanzania yaahirisha uzinduzi wa kituo cha mpakani na Kenya

Rais John Magufuli alippofungua Bunge la 11 la Tanzania. Kuanzishwa kwa kituo kipya cha mpakani kati ya Kenya na Tanzania huko Lungalunga huenda ikachukua muda kabla marais wa mataifa hayo mawili kuzindua rasmi kituo hicho baada ya Tanzania kuomba muda kukamilisha ujenzi...

Rais Magufuli asema hasara ya mishahara hewa inafikia billioni 2.5 kwa mwezi

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akitoa hotuba ya kitaifa Rais wa Tanzania  John Magufuli amewaapisha wakuu wa mikoa aliowateua hivi karibuni nchini humo huku akizungumzia upotevu mkubwa wa mapato ya serikali unaotokana na kuwepo watumishi hewa Akizungumza...

Sunday, March 13, 2016

Arsenal yavuliwa ubingwa -FA CUP

St George na TP Mazembe nguvu sawa Wachezaji wa TP Mazembe Michuano ya kombe la klabu bingwa Afrika imeendelea jana kwa michezo kadhaa. Miongoni mwa matokeo ya mechi hizo Enyimba ya Nigeria imeibugiza Vitaloo ya Burundi mabao 5-1, St George ya Ethiopia imetoshana...

Nyumba za chama cha CCM zachomwa Pemba, Zanzibar

Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba za Chama Cha Mapinduzi kisiwani Pemba huku duru ya pili ya uchaguzi ikitarajiwa Machi 20. Kamishena wa polisi wa eneo la Pemba Kusini Mohamed Shakani amesema watu hao wamechoma maeneo 11 ya kufanyia mikutano na zahanati moja lakini hakuna aliyejeruhiwa. Amesema mshukiwa mmoja kwa jina Mohamed Ramadhan...

Tanzania yajinasibu kuhusu takwimu kwenye ajenda 2030

Dokta Albina Chuwa, Mkurugenzi Mkuu wa  Ofisi  ya Taifa ya Takwimu Tanzania. Picha: Kiswahili Unit Mkutano wa 47 wa kamisheni ya takwimu ya Umoja wa Mataifa ukifikia ukingoni leo, Tanzania imesema imeshaandaa mpango wa ufuatiliaji wa masuala ya takwimu kwenye...

TFF YAMALIZA MKUTANO WAKE MKUU SALAMA JIJINI TANGA

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) jana limefanya Mkutano Mkuu wa Mwaka katika Ukumbi wa Hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga ambapo mgeni Rasmi alikua ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mwantumu Mahiza. Katika hotuba yake kwa wajumbe wa mkutano huo, Mahiza aliushukuru...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa...