VICHWA VYA HABARI

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks t>

Tuesday, April 19, 2016

DARAJA LA KIGAMBONI SASA NI DARAJA LA MWL. NYERERE

Rais Magufuli ametoa tamko hilo kwa Waziri wa Ujenzi, kulipa jina la Nyerere ikiwa ni kuenzi kazi kubwa aliyoifanya baba wa taifa ya  kuwaunginisha watanzania.
Hayo ameyasema muda si mrefu katika uzinduzi wa daraja hilo maarufu kama Daraja la Kigamboni. Daraja ambalo ni la pekee Afrika mashariki na kati, amablo limegharimu yapata bilioni 254Tsh.

Rais Magufuli
Faida kwa watu wa hali ya chini, ambao Kwa Dk. Magufuli jicho lake linawaangalia kwa jicho la huru, hao watapita bure bila tozo, bali kwa wale wenye vyombo vya usafiri watachangia kwa kulipia usafiri huo.
Daraja limejengwa kwa ushirikiano wa Serikali kuu na NSSF ambao wachangia asilimia 60 ya mradi amabyo inapsaswa kurudishwa ili kusaidia pahala pengine penye uhitaji.

0 comments:

Post a Comment