VICHWA VYA HABARI

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks t>

Monday, April 18, 2016

Tanzania: Bajeti ya Afya imeongezwa Hadi 250bn Kutoka 41bn

.Bi Ummy Mwalimu (Katoro Fm File)
Serikali ya Tanzania imeongeza bajeti yake kwa ajili ya ununuzi wa dawa kutoka sh bilioni 41 katika mwaka wa fedha wa 2014/15 hadi sh bilioni 251 katika mwaka wa 2015/16 kushughulikia uhaba wa dawa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto na Wazee, Bi Ummy Mwalimu, anasema mwishoni mwa wiki iliopita serikali ya Awamu ya Tano imejiandaa vizuri ili kuhakikisha kwamba hakuna mgonjwa atakufa kutokana na uhaba wa dawa kwa sababu katika mwaka huu wa fedha, imetenga fedha za kutosha kwa ajili ya ununuzi dawa.
Waziri huyu pia amewahakikishia wananchi ambao watapatikana na maambukizi ya virusi watapata dawa za kutosha.


http://swahili.cri.cn/141/2016/04/18/1s152640.htm 

0 comments:

Post a Comment