VICHWA VYA HABARI

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks t>

Saturday, April 16, 2016

Tanzania yaimarisha oparesheni dhidi ya bangi


Bangi(Maktaba) ktfm
Polisi nchini Tanzania wameendeleza oparesheni dhidi ya ukuzaji wa bangi pamoja na biashara yake kwenye eneo la Kaskazini mwa nchi hiyo la Arusha.
Oparesheni hiyo inaendelezwa huku ripoti ya Umoja wa Mataifa ikionyesha kuwa Tanzania ndio mzalishaji mkuu wa pili wa bangi barani Afrika.
Kamanda wa polisi kwenye eneo la Arusha Charlse Mkumbo amesema oparesheni hiyo italenga biashara na ukuzaji wa bangi na miraa.
Bangi inayokuzwa Arusha hupelekwa mjini Nairobi ambako inasambazwa kwenye nchi za Uganda, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Burundi, Ethiopia na Sudan.
http://swahili.cri.cn/141/2016/04/16/1s152593.htm 

0 comments:

Post a Comment