Kamati ya Kudumu ya Bunge ya bajeti nchini Tanzania imesema ukuaji wa sekta ya viwanda katika awamu ya kwanza ya mpango wa maendeleo ya taifa ulikuwa chini ya lengo, jambo ambalo haliridhishi maendeleo ya uchumi wa viwanda.

Amesema jambo hilo haliridhishi maendeleo ya uchumi wa viwanda na kusisitiza kuwa sekta ya madini katika utekelezaji wa mpango wa awamu ya kwanza haukuwa na mabadiliko makubwa kwenye Pato la Taifa kwa mwaka 2010. Kwa upande wake, naibu msemaji wa upinzani bungeni wa wizara ya fedha na Mipango Bw David Silinde amelitaka bunge kupitisha azimio ili kamati ya bunge kuhusu bajeti iwasilishe muswada wa sheria ya kusimamia utekelezaji wa mpango huo.
http://swahili.cri.cn/141/2016/04/22/1s152771.htm
0 comments:
Post a Comment