Lengo la tano la malengo ya maendeleo endelevu au Ajenda 2030
linaangazia usawa wa kijinsia. Katika kufanikisha lengo hili mikakati
muhimu inapaswa kuwekwa ili kuhakikisha kwamba nchi zinafanikiwa. Moja
ya mikakati muhimu katika kufanikisha lengo ni kutoa mafunzo kwa
wanawake n wanaume ambako nchini Tanzania baadhi ya wanawake wamepata
mafunzo yanayolenga kuwainua kiuchumi. Benson Mwakalinga kutoka Redio
Washirika Kyela FM ya Mbeya Tanzania amezungumza na baadhi yao, ungana
naye katika makala hii
Wanawake nchini Tanzania.(Picha:UN Photo/ B Wolff
.http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/2016/03/fursa-za-mafunzo-zalenga-kuwainua-wanawake/#.VuJguFKbkdU
Wanawake nchini Tanzania.(Picha:UN Photo/ B Wolff
.http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/2016/03/fursa-za-mafunzo-zalenga-kuwainua-wanawake/#.VuJguFKbkdU
0 comments:
Post a Comment