Waziri Mkuu Aagiza OR TAMISEMI Kusimamia Mikoa na Halmashauri Kuleta Maendeleo tarajiwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Kassim Majaliwa Majaliwa ameitaka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali...
Naibu Waziri apiga marufuku eneo la Shule kutumika kibiashara
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo, ameuagiza uongozi wa
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, kufuta mawazo ya kubadilisha matumizi
Shule ya Msingi Uhuru...
Gianni Infantino, Rais mpya wa FIFA. Ijumaa Februari 26, 2016 mjini Zurich.
FIFA TV
Na RFI
Enzi mpya yafunguliwa katika Shirikisho la kimataifa la Soka
(FIFA), ambapo rais mpya aliyechaguliwa, Gianni Infantino,...
Nembo ya IPU.(Picha@IPU)
Ripoti mpya ya muungano wa mabunge duniani IPU inaonyesha kuendelea
kwa tatizo sugu la kutowakilishwa ipasavyo kwa vijana katika mabunge,
wakati huu ambapo idadi ya kundi hilo duniani ni ikubwa kuliko wakati
wowote ule.
Ripoti hiyo iitwayo uwakilishi...
Shirika la wanyama pori la Afrika linasema kuwa ndovu takriban elfu 35 waliuwawa barani humo mwaka jana.
Pembe za ndovu haramu zikichomwa.
Malawi ilichoma pembe za ndovu takriban mia 8 jummatatu kuonyesha
nguvu dhidi ya biashara haramu ya wanyama pori. Maafisa...
Siku kadhaa kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa marudio huko Zanzibar,
Chama cha Wananchi -CUF kimesema baadhi ya wanachama wake huko kisiwani
Pemba wameanza kukimbilia maporini wakitafuta uwezekano wa kutoroka
kisiwani humo na kukimbilia katika mji wa Mombasa nchini Kenya...
Rais John Magufuli alippofungua Bunge la 11 la Tanzania.
Kuanzishwa kwa kituo kipya cha mpakani kati ya Kenya na Tanzania huko
Lungalunga huenda ikachukua muda kabla marais wa mataifa hayo mawili
kuzindua rasmi kituo hicho baada ya Tanzania kuomba muda kukamilisha
ujenzi...
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akitoa hotuba ya kitaifa
Rais wa Tanzania John Magufuli amewaapisha wakuu wa mikoa
aliowateua hivi karibuni nchini humo huku akizungumzia upotevu mkubwa wa
mapato ya serikali unaotokana na kuwepo watumishi hewa
Akizungumza...
St George na TP Mazembe nguvu sawa
Wachezaji wa TP Mazembe
Michuano ya kombe la klabu bingwa Afrika imeendelea jana kwa michezo kadhaa.
Miongoni
mwa matokeo ya mechi hizo Enyimba ya Nigeria imeibugiza Vitaloo ya
Burundi mabao 5-1, St George ya Ethiopia imetoshana...
Watu wasiojulikana wamechoma moto
nyumba za Chama Cha Mapinduzi kisiwani Pemba huku duru ya pili ya
uchaguzi ikitarajiwa Machi 20.
Kamishena wa polisi wa eneo la Pemba Kusini Mohamed Shakani
amesema watu hao wamechoma maeneo 11 ya kufanyia mikutano na zahanati
moja lakini hakuna aliyejeruhiwa.
Amesema mshukiwa mmoja kwa jina Mohamed Ramadhan...
Dokta Albina Chuwa, Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi
ya Taifa ya Takwimu Tanzania. Picha: Kiswahili Unit
Mkutano wa 47 wa kamisheni ya takwimu ya Umoja wa Mataifa ukifikia
ukingoni leo, Tanzania imesema imeshaandaa mpango wa ufuatiliaji wa
masuala ya takwimu kwenye...
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) jana limefanya Mkutano Mkuu
wa Mwaka katika Ukumbi wa Hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga ambapo
mgeni Rasmi alikua ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mwantumu Mahiza.
Katika hotuba yake kwa wajumbe wa mkutano huo, Mahiza aliushukuru...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara, ambapo kati yao
13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa...
Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amesema Serikali imeanza kukusanya fedha
kwa ajili ya kununua meli mpya kwa ajili ya usafirishaji wa abiria na
mizigo kwenye Ziwa Victoria.
Waziri Mkuu MAJALIWA ametoa taarifa hiyo Mkoani KAGERA baada ya
kupokea taarifa ya mkoa huo ambako amewasili leo kwa ziara ya siku tatu
kwa ajili ya kukagua masuala...
Mkutano Mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
uliokuwa ufanyike mwezi Disemba mwaka jana sasa utafanyika wikiendi hii
Jumamosi na Jumapili tar 12-13 March 2016 jijini Tanga.
Ajenda za mkutano huu ni kwa mujibu wa katiba ya TFF. Mkutano mkuu
utahitimishwa...
Wakenya wanaotumikia vifungo gerezani katika mataifa ya kigeni
wanatarajiwa kurejeshwa hapa nchini kukamilisha vifungo vyao iwapo
kutakuwa na maafikiano kati ya Kenya na nchi ambao wakenya wamefungwa
gerezani. Hii ni baada ya kuratibiwa kwa rasimu ya mkataba wa maelewano...
Rais Dkt. JOHN MAGUFULI ameiagiza Benki kuu ya Tanzania BOT, kusitisha
malipo ya shilingi Bilioni 925.6 ambayo tayari yalishaidhinishwa na
badala yake yarejeshwe Wizara ya fedha na Mipango kwa ajili ya kufanyiwa
uhakiki.
Rais Dokta MAGUFULI
ametoa agizo hilo, katika...
Lengo la tano la malengo ya maendeleo endelevu au Ajenda 2030
linaangazia usawa wa kijinsia. Katika kufanikisha lengo hili mikakati
muhimu inapaswa kuwekwa ili kuhakikisha kwamba nchi zinafanikiwa. Moja
ya mikakati muhimu katika kufanikisha lengo ni kutoa mafunzo kwa
wanawake...
Ripoti mpya ya Bodi ya kimataifa ya kuzuia madawa ya kulevya, INCB,
imeshauri serikali duniani kuhakikisha harakati za kudhibiti
upatikanajiwa dawa za kulevya zinaenda sambamba na harakati za kuwapatia
dawa za matibabu waathirika wa madawa hayo.
Akizungumza wakati wa uzinduzi...
Tanzania na Vietnam zakubaliana kushirikiana katika sekta mbalimbali
TANZANIA na VIETNAM zimekubaliana kushirikiana katika nyanja za
mawasiliano, elimu, kilimo, biashara na uvuvi ili kukuza uchumi wa nchi
zote mbili ambazo zina mahusiano kwa takribani Miaka HAMSINI sasa.
Hayo...